Monday 14 September 2015

Hussein Machozi - Msinitumie (Official Music Video)

Huu wimbo unazungumzia, Mirathi Hussein Machozi ameamua kuvaa uhusika katika wimbo huu kama mtu aliechaguliwa kusoma husia ulio andikwa na marehemu, Hussein Machozi alitimuliwa na wahusika ambao waliokua wakitaka kudhulumu MALI ambazo zinawahusu familia ya marehemu. 
Track produced by RKEY Video directed by Minzi Mims.

https://my.notjustok.com/track/download/id/31823 


Jiunge Nasi na Huku Pia, Kwa Kubofya

No comments:

Post a Comment