Monday 14 September 2015

Mkali wa ‘Classic Man’ Jidenna asema anamkubali Wizkid, aongelea uwezekano wa kufanya Collabo naye

Msanii wa Marekani mwenye asili ya Nigeria, Jidenna anayefanya vizuri na major hit song yake ‘Classic Man’ ameweka wazi kuwa msanii wa Afrika anayemkubali zaidi kwasasa ni Wizkid.

Wakati anafanya mahojiano na Billboard Jidenna alisema  “Napenda sauti ya Wiz Kid, napenda timu yake ya maproducer anaofanya nao kazi, nilikuwa nao hivi karibuni, naangali kinachokuja kati yetu” - Jidenna

Jidenna na Wizkid walifanya show pamoja kwenye tamasha la Africkan Festival mwezi wa saba mwaka huu.
Enjoy kwa Kuangalia Hii Video | 
Jidenna - Classic Man (Remix) ft. Kendrick Lamar
Jiunge Nasi na Huku Pia, Kwa Kubofya

No comments:

Post a Comment