Monday 14 September 2015

Download | Jooh Harakati - September 14 (Audio)

Track hii ambayo inaelezea nusu ya maisha Ya Joh Harakati niliyopitia mpka hapa leo nilipo na kila nilichokiimba kinanigusa mimi kwa 100% . 
September 14 nilizaliwa na baada ya miaka 2 kupita baba alifariki na kubaki na mama, kaka na dada pia, mama alikomaa mpka wote tukapata misingi na tumezaliwa watoto 11, 2012 mama yetu mpendwa alifariki - Jooh Harakati

https://my.notjustok.com/track/download/id/31823 


Jiunge Nasi na Huku Pia, Kwa Kubofya

No comments:

Post a Comment