Thursday 20 March 2014

Kimbunga Machawi ft Chege--Usitukane (Audio) Comming soon [omycdney]

Rapper Kimbunga Mchawi ameamua kubadilika kidogo na kuweka zile Ngum Pembeni kisha Kufanya Bonge moja ya Kwaito "USITUKANE" huku akimshilikisha Mtoto wa Mama Saidi kutoka TMK Chege Chingunda,
Uliwahi kufikiri kama Mwana Atabadilika, Aya sasa subiri kusikia Kazi hii ambayo imefanyika Pale Ruby Rec chini ya Producer Jala Man na Usimamizi wa Madam Ruby.
                                    
By:omaryramsey                                                            

No comments:

Post a Comment