Saturday, 3 October 2015

Chege atangaza ujio wa Collabo yake ya kimataifa, amemshirikisha msanii wa Nigeria na Afrika kusini


wimbo huo ambao video na Audio yake vyote vimefanyika Afrika kusini, utaitwa ‘Sweety sweety’, Kupitia Instagram Chege ameandika

Ladies and gentleman brand new and exclusive collaboration Tanzania*Nigeria*SouthAfrica soon to your ears and eyes Audio and Video ,Jam called #SweetySweety..Loading..job done in SouthAfrica with producer @djmaphorisa and track featuring two Artist From two different countries I mean @Chegechigunda ft @Runtown (Nigeria) @xelimpilo of UHURU (SouthAfrica).............................................Ma bibi na mabwana hii ni mpya tena TANZANIA x NIGERIA x SOUTH AFRICA nawaletea maskioni na machoni pia oudio+video soon mkwaju unakwenda kwa jina #sweetysweety......loading...... Kazi imefanyika south africa chini ya producer @djmaphorisa ndani nimeshirikiana na wasanii wawili kutoka nchi mbili tofaut i mean chege ft runtown&mr miyagi from uhuru @mkubwafella @mhtemba @babutale @djmaphorisa @xelimpilo @dunga_santuri_trinity @cwtysadah @almasmzambele @diamondplatnumz @sirballatz @tigomusictz @rickymtiziman @msetoea @chokadj @sammisago @millardayo @runtown @juliobatalia @gorilla_films @uhuru_sa
A photo posted by Chege Chigunda (@chegechigunda) on


Jiunge Nasi na Huku Pia, Kwa Kubofya


No comments:

Post a Comment