Katika akaunti yake ya Instagram Quick ameshare
kionjo cha video hiyo ya wimbo wake mpya uitwao ‘Queen’ na kuandika
“#NewVideoAlert#NewSongAlert….Mbeya City yo boy is coming.#Oct17#Queen#
@director_khalfani & @raqey_allaraqya on this one.”
Jiunge Nasi na Huku Pia, Kwa Kubofya
No comments:
Post a Comment