Wakati anazungumza na kipindi cha XXL cha Cloudsfm 28/9 Jana, Diamond alisema “Nilikuwa
studio nikaambiwa tu jamaa kapost wimbo wake, baada ya dakika chache
nikaona amenifollow ndio maana nikaweka picha nikiwa studio na Neyo ili
akinifuatilia zaidi ajue jamaa niko powa sababu ya collabo za kimataifa,
nilitaka kurepost Nana ila nikajua wanigeria watajua Swizz kasikiliza
nyimbo kupitia Nigeria, nili repost Nataka kulewa ili kuwaonyesha
wanaigeria ni muziki wa Tanzania unakubalika”
Vilikupita vipande vya video hizo... Basi ingia HAPA
Jiunge Nasi na Huku Pia, Kwa Kubofya
No comments:
Post a Comment