Mara ya kwanza aliweka video ikimuonesha mtoto wake akicheza ‘Nana’ na baadae akaweka video nyingine akicheza ‘Nataka kulewa’
Hii inamuonyesha akicheza Nana
Hii inamuonyesha akicheza Nataka Kulewa
Kitendo icho ambacho kimepokelewa vizuri na mashabiki wa muziki wa
Tanzania, ni njia moja wapo ya kuonesha kuwa mziki wa Tanzania ‘Bongo
Fleva’ unaendelea kukua zaidi na unaendelea kupata wasikilizaji wapya.
Mchezaji wa Manchester City Wilfred Bony aliwahi pia kuweka video akicheza wimbo wa Daimond.
Jiunge Nasi na Huku Pia, Kwa Kubofya
No comments:
Post a Comment