Tuesday, 29 September 2015

Diamond Platnumz atajwa kuwania Tuzo zingine za nje ‘African Entertainment Legends Awards’ anawania vipengele viwili


Diamond amechaguliwa kwenye vipengele viwili ‘African Legends artist of the year‘ ambapo anachuana na Faze, Reggie Rockstone,  P-Square , Asa , R2bees , 2face , Dbanj. 

Kipengele cha ‘Best collabolation’ kupitia wimbo wake wa Nana aliomshirikia Mr.Flavour , hapa anashinda na  Sarkordie (New Guy) ft Ace, Davido (Fans Mi) ft Meek Mill, Flavour (Sexy Rosey) ft Psquare, Dbanj (Feeling The Nigga) ft Akon, Kiss Daniel (Woju Remix) Ft Davido, Tiwa savage, Wizkid (Ojuelegba) ft Drake, Skepta, Harrysong (Reggae blues) ft Olamide,Kcee,Orezi,Iyanya, Patoranking (My Woman) ft Wande coal

Unaweza ingia Hapa ili kumpigia kura.

Jiunge Nasi na Huku Pia, Kwa Kubofya



No comments:

Post a Comment