Vanessa Mdee ni msanii pekee wa Tanzania aliyetangazwa kushambulia
jukwaa hilo hadi sasa, wasanii wengine watakao perfom ni pamoja na
Wizkid, Davido, Burna boy, Aka, K.0, Victoria Kimani, Uhuru, Dama do
bling, Run Town, Bucie, Da LES, Darley, Anatii, Emmy Gee na The Soweto
gospel choir.
Jiunge Nasi na Huku Pia, Kwa Kubofya
No comments:
Post a Comment