Tuesday 22 September 2015

Kama hujaziona picha za arubaini ya kuzaliwa Princess Tiffah mtoto wa Diamond, Hizi hapa picha za tukio hilo

Tarehe 19th Sep, 2015 ilikuwa ni siku ambayo mtoto wa nguli wa muziki hapa nchini *Diamond Platnumz* anamtoa mtoto wake *Princess Tiffah* baada ya siku 40 za kuzaliwa kwake. 
Hizi ni picha zikionyesha tukio hilo lilivyo kuwa na walio hudhuria. 

















Exclusive 40 ya Princess Tiffah kurushwa siku ya kesho Juma5 (23/9/) kupitia CloudsTv Saa 3:00 usiku.

Jiunge Nasi na Huku Pia, Kwa Kubofya

No comments:

Post a Comment