Wednesday, 30 September 2015

‘Game’ ya Navykenzo yashika namba moja ‘Official Afrcan chart’ ya MTV Base


game 

Video ya wasanii wa kundi la Navy kenzo waliomshirikisha Vanessa Mdee ‘Game’ ndio video namba moja kwenye chart ya ‘Official African Chart’ ya MTV Base.

Wiki chache iliyopita chart hiyo ilikua ikiongozwa na ‘Nana’ ya Diamond Platnumz na kabla ya hapo ‘NusuNusu’ ya Joh makini iliongoza chart hiyo kwa wiki kadhaa mfululizo.



Jiunge Nasi na Huku Pia, Kwa Kubofya

No comments:

Post a Comment