Wednesday, 30 September 2015

Cristiano kuachia Movie yake mwezi wa 11 mwaka huu, Hii ni Trailer yake (Movie Trailer)


Filamu hiyo imeandaliwa na Universal studio na imewahusisha Cristiano Ronaldo mwenyewe, Mama yake, mtoto wake na rafiki zake.

Ronaldo-Film-Trailer-3 

Ronaldo-Poster

Hii ndio Trailer yake..

Jiunge Nasi na Huku Pia, Kwa Kubofya

No comments:

Post a Comment