Friday 11 September 2015

Wakazi - Amka Mtanzania (Official Music Video)


Baada ya kuachia audio ya wimbo wake mpya ‘Paid My Dues’, Bilingual Beast wa muziki wa Hip Hop Tanzania, Wakazi amerudi kuziandika headlines kwenye kurasa za burudani.
Itazame hapo chini official video ya wimbo huu, bilingual beast wa muziki wa hiphop ameamua kuisogeza kwenye nyingine mpya kutoka kwake, wimbo unaitwa ‘Amka Mtanzania’ ndani yupo Nikki Mbishi, Zaiid na P The MC.

https://my.notjustok.com/track/download/id/31823  



Jiunge Nasi na Huku Pia, Kwa Kubofya

No comments:

Post a Comment