Saturday 12 September 2015

Amani - Heartbreaker (Official Music Video)

STAA wa muziki nchini Kenya, Cecilia Wairimu ‘Amani’, ametoa zawadi ya video yake mpya ya ‘Heart breaker’ kwa mashabiki wake waliokuwa wakimsubiri kwa muda mrefu. 

Msanii huyo alikuwa kimya kwa muda mrefu kiasi cha kudhaniwa ameachana na muziki. Wimbo huo uliachiwa mwezi uliopita na video yake imetoka juzi, 
“Najua mashabiki wangu walivunjika moyo baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu bila kuachia wimbo, lakini kwa sasa watakuwa na furaha kutokana na video hiyo mpya, kikubwa wanatakiwa kuendelea kupokea kazi zangu mbalimbali zijazo,” - Amani.

https://my.notjustok.com/track/download/id/31823 


Unaweza pia kuitazama hapa Behind the Scene ya Video Hii


Jiunge Nasi na Huku Pia, Kwa Kubofya


No comments:

Post a Comment