Kwa wakazi wa mji mmoja huko China, usafiri wa treni unapatikana barazani kwao, tena ghorofani.
Katika mji wa Chongqing nchini humo, reli ya treni imejengwa kukatiza juu ya nyumba wanamoishi wapangaji.
Chongqing, mji uliopo kusini mashariki mwa China, umefurika wakazi
takriban milioni 49, kitu kilichowafanya watu wanaohusika na mipango
miji kuwa wabunifu.
Kutokanana hilo walianzisha mradi uliozalisha kile kilichoitwa, Mountain City.
No comments:
Post a Comment