Wednesday, 21 October 2015

Video | Mtazame Iyanya akiufurahia na kuuimba wimbo wa Vanessa Mdee ‘Hawajui’




Kwenye video hii aliyoiweka Instagram, Iyanya anajaribu kufuatisha maneno ya Kiswahili kwenye wimbo huo japo yanampiga chenga. Tazama video hiyo hapo juu.

Jiunge Nasi na Huku Pia, Kwa Kubofya



No comments:

Post a Comment