Wednesday, 21 October 2015

Barnaba arekodi wimbo na Jose Chameleone


Wimbo huo unaitwa Nakutunza na umerekodi kwenye studio za High Table Sound zinazomilikiwa na Barnaba.

12070833_1664897037085337_1136653106_n 


“With my Broo @jchameleone From #UG Asante sana for you’re Time Asante Sana Leo pale @Hightablesound Kiukweli can’t wait…. Kwakeli Song… #NAKUTUNZA with #Jozeeeeee NovemberLoading,” aliandika Barnaba kwenye picha aliyoweka Instagram.

12107505_155122274838399_1059075985_n 

Kwenye picha hii Barnaba ameandika: With My brother @beatsbykayz From #UG pia Tukiweka Sawa Sauti Ya doctor @jchameleone #studiosession #NAKUTUNZA … ClassiC&DoctorJoze #staytuned ………! inspirationVoice Classic

Jose Chameleone alikuja nchini kwaajili ya kutumbuiza.

Jiunge Nasi na Huku Pia, Kwa Kubofya





No comments:

Post a Comment