Monday, 5 October 2015

Vanessa Mdee kuachia wimbo mpya jumatatu ijayo, unaitwa ‘Never Ever’


20151005002116 

Wimbo huu umeandaliwa na producer Nahreel kutoka studio za ‘The Industry’ na utakuepo kwenye Album yake ya kwanza ‘Money Mondays’

Jiunge Nasi na Huku Pia, Kwa Kubofya



No comments:

Post a Comment