Saturday, 17 October 2015

Vanessa Mdee azungumzia kufananishwa kwa video yake mpya na ile ya Ciara


Vanessa ameiambia Friday Night Live ya EATV kuwa msanii binafsi kama yeye kufananishwa na kazi ya Ciara aliye chini record labels kubwa duniani ni kitu kikubwa.

“I think it’s great kusema ukweli, the thing about this, Ciara ni msanii ambaye amefanya muziki kwa muda mrefu sana. Two ana support ya major labels, mimi ni independent artist, najipanga peke yangu, so as an independent artist somebody ana compare kazi yangu na msanii wa kimataifa, it’s fine,” alisema Vanessa.

Vanessa Mdee - Never Ever

Ciara - Dance Like We're Making Love


“Hamna idea ambayo utashoot ambayo mtu hajafanya, watu wameshafika kila sehemu, watu wameshashoot ndani ya maji, wakipaa angani sasa utafanya nini? Unajua by the way nimesikia nyingi, Ciara, Nicki Minaj,” aliongeza.

Jiunge Nasi na Huku Pia, Kwa Kubofya


No comments:

Post a Comment