Saturday, 17 October 2015

Video | Trailer ya documentary mpya ya ‘Maisha ya Bi Kidude’


Documentary hii imeandaliwa na mtengenezaji wa filamu Andy Jones kutoka Uingereza.
Bi Kidude alifariki kutokana na kusumbuliwa na maradhi ya sukari na uvimbe kwenye kongosho, na mazishi yalifanyika Zanzibar na kuongozwa na Rais Jakaya Kikwete.

Tazama hapa trailer


Jiunge Nasi na Huku Pia, Kwa Kubofya

No comments:

Post a Comment