Cassper Nyovest ndiye ameshika nafasi ya pili akifuatiwa na mpinzani wake AKA aliyeko kwenye nafasi ya tatu.
Vigezo vilivyotumiwa na majaji kupanga orodha hiyo ni:
“Lyrics, sales, style, impact, buzz and other intangibles that set one artist apart from the next.”
“Lyrics, sales, style, impact, buzz and other intangibles that set one artist apart from the next.”
Panel ya majaji iliongozwa na Vj wa MTV Base Sizwe Dhlomo, wadau
mbalimbali kutoka vituo vya radio na televisheni, pamoja na wasanii.
MTV Base presents The Hottest MCs of 2014:
1. K.O
2. Cassper Nyovest
3. AKA
4. Khuli Chana
5. Riky Rick
6. Reason
7. Kid X
8. Da Les
9. Kwesta
10. Maggz
2. Cassper Nyovest
3. AKA
4. Khuli Chana
5. Riky Rick
6. Reason
7. Kid X
8. Da Les
9. Kwesta
10. Maggz
Jiunge Nasi na Huku Pia, Kwa Kubofya
No comments:
Post a Comment