Saturday, 24 October 2015

Video | Tazama kionjo cha video mpya ya Nonini aliyomshirikisha Chege – Wanajishuku




Chege na Nonini ni washkaji wa muda mrefu ambao wamekuwa wakishirikiana katika kazi mbalimbali, na hii ni moja ya kazi ambazo wamekuwa wakifanya. Kwenye wimbo huu pia ameshirikishwa Dj Pierra. Video itazinduliwa October 31.

Jiunge Nasi na Huku Pia, Kwa Kubofya



No comments:

Post a Comment