Thursday, 8 October 2015

Picha | Vanessa Mdee kuja na 'Never Ever'

Vanessa Mdee ataachia single yake mpya ‘Never Ever’ Jumatatu ijayo. Kwa Vee Money ambaye ataachia pia album yake iitwayo ‘Money Mondays’ baadaye, Jumatatu ni siku yake ya bahati.

Kabla Jumatatu haijafika, muimbaji huyo mrembo anakuandaa kwa mfululizo wa picha nzuri na za kuvutia. Picha hizo zilipigwa na Osse Greca Sinare.

Hizi ni picha mpya alizozitoa.
 


No comments:

Post a Comment