Nyumbani kwa msanii Diamond Platnumz usiku wa tarehe 2 October palikuwa hapatoshi kutokana na watu kibao wakiwemo mastaa mbali mbali walio jumuika kumpa pongezi za kuzaliwa msanii huyo. Hivi ndivyo mambo yalivyo kua.
Jiunge Nasi na Huku Pia, Kwa Kubofya
No comments:
Post a Comment