Kwa mujibu wa Boss wa HKN, Davido amesema ‘Nimekua nikiwaona kwenye TV lakini sasa tunachangia bill moja club’. Trey
songz ni moja ya wasanii wa kimataifa walioshirikishwa kwenye Album
mpya ya Davido, ameshirikishwa kwenye wimbo unaoitwa ‘Wetin you Say‘.
Pia Davido alikutana na Mwanasheria namba moja kwenye Entertainment kwa
mujibu wa Billboard, Joel Katz kwahiyo tunaweza tegemea chochote kati ya
hawa watu wawili, Joel Katz pia huwa anaitwa ‘the deal maker who thinks
outside the box’
Jiunge Nasi na Huku Pia, Kwa Kubofya
No comments:
Post a Comment