Friday, 16 October 2015

Video | Davido aingia kwenye fani ya uigizaji, trailer ya filamu yake ya kwanza imetoka

Msanii wa Nigeria, David adeleke aka Davido ameingia kwenye fani ya uigizaji na ataonekana kwa mara ya kwanza kwenye filamu mpya iliyopewa jina la ‘John Zerebe’

Kwenye filamu hii ambayo imeandaliwa chini ya producer Ikey Ojeoguw, Davido ameigiza pamoja na msanii mwingine ambaye yupo kwenye label yake ya music ‘HKN Music’ Sina Rambo.



Mbali na kuigiza davido pia ameshiriki kwenye production ya filamu hii.

Jiunge Nasi na Huku Pia, Kwa Kubofya


No comments:

Post a Comment