Artist : Izzo Bizness Ft. Mwana FA & G Nako
Song : Shem Lake
Prod : Nahreel | The Industry
LYRICS
Intro:
Aaaaahaa…anhaaaaa…Nahreel on the beat...anhaaaaaaaa…
Eeeheeeh… X 4

Chorus: G-nako
Shemeji AHH Shemeji WEE Shem Lake YEYEYEE Unanitoa Udelee Unanitoa Udeeee...nda (Shemeji!) X 2
Mauwizi/ tatizo ni demu wa mchizi/ kamekatiza na Khanga naChizi/ Macho yautesa Moyo kichizi/

Verse 1: Izzo Bizness
Body yako inavyopendeza kwa Pamba Shem kweli Soo/ Hawashindani hakuna hata wa kutoa Draw/ Mabastola Ulivyojaza mtaani kote Soo/ Unawaua na wanakufa Makomandoo/ (Shemejiiii!) Unawaacha watu wana-blow/ Ukitembea mitetemeko Shem Singida-Dodoma/ na nyuma unaacha Lawama/ kweli Shem hauna mfano/ Unanifanya niwe High kama nimemoka cha Kapachino/ (Shemejiii!) Shem Lake lipo Pretty-Pretty/ Sura ya kitoto Shem Cute-Cute/ wanalitega Shem-Shem halitegeki/ Shem hakiombeki/ Shem Kudadadeki/ (Shemejiiii!)

Shemeji AHH Shemeji WEE Shem Lake YEYEYEE Unanitoa Udele Unanitoa Udeee...nda (Shemeji!) X 2
Mauwizi/ tatizo ni demu wa mchizi/ kamekatiza na Khanga naChizi/ Macho yautesa Moyo kichizi

Verse 2: MwanaFA
Hatuzimi Taa haijawahi kuwaka/ Shemeji Shemeji natamani ningekua kaka/ Siwezi kushtuka/ akili zinaniruka/ Siwashangahi wanaufahamu na wenyewe wanaitaka/ wivu wivu Fulani usio na maana ndio mapenzi labda/ Najilaumu nilikua wapi akakuona yeye kabla/ Mpaka naelewa wana Urithi wake sasa/ Macho yanawatoka kitambo kama Fisi kaona Fursa/ kazidi sana uzuri mpaka inakua Mitihani/ kila anachofanya mtego hata akisema kama anadhani/ kama anaizingia nafasi hivi/ yakuwa mwizi hivi/ hata siamini ninachosema jua Shemeji G….!

Shemeji AHH Shemeji WEE Shem Lake Yeyeyee Unanitoa Udele Unanitoa Udeee..nda (Shemejiii!) X 2
Mauwizi tatizo ni demu wa mchizi kamekatiza na Khanga na Chizi Macho yautesa Moyo kichizi…(Shemejiii!)

Outro:
Mauwizi…..wa mchizi (Shemejiii!)…….na Chizi……..kichiziiii….(Eheee…Ehee…)

Kama bado.. Ingia hapa kudownload SHEM LAKE
No comments:
Post a Comment