Siku chache zilizopita, Kituo kikubwa cha runinga cha CNN kilikuja nchini kumfanyia ‘Documentary’ mkali wa Bongo Fleva, Nassib Abdul au Diamond Platnumz ambaye amesema maisha yake binafsi yanawavutia watu wengi na hivyo kutaka kumjua zaidi.
Diamond akifanya mahojiano na kituo cha CCN
Akizungumza na XXL ya CloudsFm Diamond amesema ” Nafikiri maisha
yangu na story yangu nzima kwa ujumla kuanzia kwenye muziki kwenye
maisha na kila kitu inavutia watu kutamani kutaka kuijua mara kwa mara
nafikili ndio kitu kinasaidia kuona napata followers wa nchi tofauti
tofauti……”
Jiunge Nasi na Huku Pia, Kwa Kubofya
No comments:
Post a Comment