Sunday, 16 August 2015

Video | Rais Jakaya Kikwete akicheza muziki na msanii Vanessa Mdee

Rais Jakaya Kikwete si wa kumchezea linapokuja suala la kucheza muziki.

Hivi karibuni alidhihirisha uwezo wake wa kuyarudi magoma baada ya kuingia kwenye dancing floor na Vanessa Mdee na kuonesha moves za hatari. Tazama video hiyo hapo chini.



-TUBONGETZ

Jiunge Nasi na Huku Pia, Kwa Kubofya

No comments:

Post a Comment