Sunday, 16 August 2015

Hatimaye kwa mara ya kwanza Alikiba athibitisha kufanya ngoma na Ne-Yo, Kayaandika haya

Ilikuwa tu inasikika lakini yeye msanii muhusika hakutia neno kuwa atafanya collaboration na msanii Ne-Yo, lakini kupitia account yake Ali Kiba ameandika kuwa tayari atafanya kazi na msanii kutoka marekani Ne-Yo.

Haya kayaandika Ali Kiba "I Am Truly Excited To Be Working With An Artist That I Have Great Respect For ...Not Only As A Multi Grammy Award Winning Musician But An Excellent Song Writer, Record Producer, Dancer & Actor

Jiunge Nasi na Huku Pia, Kwa Kubofya



No comments:

Post a Comment