Friday, 7 November 2014

Kazi Kwenu Waongo... Sasa Whatsapp yaongeza Alama ya kuonesha ujumbe Umesomwa na muda Uliosomwa

Wale mliozoe kusema " sijaona message yako au "basi itakuwa sijaisoma"  kwasababu hakukua na chochote kinachomuonyesha mtumaji umesoma basi mmekomeshwa na "Whatsapp" safari hii.

Sasa hivi kila ujumbe utakaopokelewa na kusomwa kupitia whatsapp utaonyesha alama ya tiki mbili za blue ikimaanisha ujumbe umefika na umeshasomwa, ukilinganisha na zamani, ujumbe  ulikuwa ukitumwa kama haijafika unaonyesha tiki moja, ukifika unaonyesha tiki mbili lakini haionyeshi kama ujumbe umesomwa au la.


Kama aimu yako inaji upodate mar akwa mara utakuwa ushaona mabadiliko haya na kama bado fanya ku update whatsapp yako sasa. 

  

 

JOIN US 

FACEBOOK/ OMARYRAMSEY

TWITTER/ @RAMSEYOMARY


No comments:

Post a Comment