Friday, 7 November 2014

Lady Jaydee: Mko tayari kwa kitu kipya Nov. 28?


Ni single mpya na video mpya! Hilo ndio jibu la alilouliza Lady Jaydee kwa mashabiki wake kwenye ukurasa wa Facebook; Are you ready for something new?! How about November 28th?! Stay tuned.

” Akiongea na East Africa Radio hivi karibuni, Lady Jaydee aliutaja wimbo mpya atakaoutoa mwishoni mwa mwezi huu. “Mwezi wa kumi na moja mwishoni natoa nyimbo mpya pamoja na video. Wimbo unaitwa Forever nimemshirikisha Dabo mdogo wangu, toka mimi kuzaliwa ananifuata yeye. Yeah ni ngoma ya kwanza nilikuwa namuacha apevuke kwanza akue na ajisimamie.

.” Pia kwenye ukurasa wake wa Instagram alitease mashairi ya wimbo huo

No comments:

Post a Comment