Thursday 10 September 2015

Roma : Wanataka kuufungia wimbo wangu mpya ‘Viva Roma viva’ kisa tu nimeongea ukweli

Saa chache baada ya wimbo mpya wa Roma ‘Viva Roma viva’ kutoka September 9, rapper huyo amedai kuwa ametishiwa wimbo huo kufungiwa. Kupitia Instagram, majira ya saa mbili usiku Roma aliandika;

WANATAKA KUIFUNGIA NYIMBO YANGU!! KISA TU NIMEONGEA UKWELI!! INANIUMA SANA NATAMANI HATA KULIA NIKIONA UKWELI HAUPEWI NAFASI!! NIOMBEENI NA MNIKUMBUKE KWENYE SALA ZENU NDUGU ZANGU!! Viva Roma viva✌✌✌ - ROMA


ro
Fanya Kuudownload  Hapa Kama Bado Hujausikia..

Hizi ni baadhi ya comments za mashabiki wake waliotoa maoni yao kwenye post hiyo

Shikamoo @roma2030

Hivii nini maaana ya neno msanii @basata??? Ni kusema ukweli kwenyee jamii au kusema uwongo??? @roma2030 umefanya kazi kubwa hasa kipindi cha uchaguzi. Sioni maana ya wao kufungia nyimbo yako ambapo umefunguka. Praying for u my man...@roma2030

Tutakusapoti hadi mwisho wa safari, wamechelewa ngoma raia wote kitaa tunayo, hata wakiizuia wameshasanda na mashairi yako tayari vichwani mwetu

tushawajua ni kina nan na wametumwa na nan relax @roma2030 message sent,,, ukisikia kelele jua limempata ✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌nakuelewaje sasa??

Jiunge Nasi na Huku Pia, Kwa Kubofya

      

No comments:

Post a Comment