Thursday 10 September 2015

Malkia Elisabeth wa Uingereza avunja rekodi ya kukaa muda mrefu katika utawala


Malkia Elisabeth alitawazwa kuwa malkia alipokuwa na miaka 25 tarehe 6 Februari mwaka 1952.

Septemba 9 akiwa katika kusherehekea miaka yake 63 na miezi 7 na siku 3 za utawala wake.

Malkia Elisabeth amempiku mtangulia wake Bi Victoria mbae hadi sasa alikuwa akishikilia nafasi hiyo.

Akiwa na umri wa miaka 89 aliishi katika kipindi kigumu katika miaka ya 1990 kutokana na talaka za watoto wake 3 na ukimya usiokifani kufuatia kifo cha Diana.

Jiunge Nasi na Huku Pia, Kwa Kubofya




No comments:

Post a Comment