Wednesday 9 September 2015

Hivi ndio viwango vipya vya nauli ya mabasi yaendayo mwendo kasi Dar es Salaam


Aidha, nauli ya mwanafunzi itakuwa kati ya Sh. 250 na 450 kwa safari moja, Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (Sumatra), imetangaza jana.

Tangazo la Sumatra kwa vyombo vya habari jana lilieleza kuwa, mamlaka hiyo imepokea maombi ya nauli kutoka kwa Wakala wa Mabasi yaendayo Haraka Dar es Salaam (Udart) ambao utatoa huduma ya usafiri wa umma katika kipindi cha mpito.

-Nipashe 

Jiunge Nasi na Huku Pia, Kwa Kubofya



No comments:

Post a Comment