Wednesday 9 September 2015

Diamond Platnumz afikisha followers milioni 1 kwenye mtandao wa instagram

Diamond Platnumz amekua mtanzania wa kwanza kufikisha Followers Million 1 kwenye mtandao wa Instagram, akiungana na wasanii wengine wawili wa Afrika Davido na Wizkid, hivyo kukamilisha orodha ya wasanii watatu pekee wa Afrika wenye Followers kuanzia Million 1 kwenye mtandao wa Kijamii, Instagram.

dimo M 

Wiki hii imekua njema sana kwa mwimbaji huyo wa Nana, Mbali ya kuwa Mtanzania mwenye Followers wengi zaidi kwenye mtandao wa Instagram, pia ni mtanzania pekee anayepeperusha bendera ya nchi kwenye Tuzo za MTV Europe mwaka 2015.

Jiunge Nasi na Huku Pia, Kwa Kubofya


No comments:

Post a Comment