Thursday 10 September 2015

Young Dee : Natamani kufanya collabo na Diamond na Patoranking wa Nigeria, pia aweka wazi mgombea uraisi anaye muunga mkono


young 
Young Dee na Ben pol wakati wa utengenezaji wa Video ya “Do it” Inayoamasisha wananchi kupiga kura kwa amani.

Paka Rapper kama anavyojiita aliweka wazi nia yake ya kufanya kazi na wasanii hao  siku ya jana wakati akijibu maswali ya mashabiki zake kupitia kipengele cha Kikaangoni katika ukurasa wa facebook wa EATV, Pia Young D aliweka wazi kuwa yeye anamuunga mkono mgombea uraisi kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi, Dk. John Pombe Magufuli,

“Mimi namuunga mkono Dk. Magufuli, hata hivyo sidhani kama ni kosa kwa msanii kumuunga mkoni kiongozi fulani sababu hata msanii ni mwananchi wa kawaida lakini pia kwetu sisi hii ni biashara,” - Young D. 

Jiunge Nasi na Huku Pia, Kwa Kubofya


No comments:

Post a Comment