Tuesday 15 September 2015

Raisi Obama abandika picha yake ya pamoja na kundi la Sauti Soul wakicheza ‘Sura yako’ kwenye ukuta wa Ofisi yake ‘White House’

Lakini kitu kizuri zaidi ni kwamba raisi Obama hakuishia kucheza tu bali amebandika picha yake na kundi hilo wakicheza ‘Sura yako’ kwenye ukuta wa Ofisini kwake ‘White house’

Jiunge Nasi na Huku Pia, Kwa Kubofya



No comments:

Post a Comment