Wednesday 23 September 2015

P.Diddy aongoza orodha ya Forbes ya wasanii wa HipHop waliotengeneza mkwanja mrefu zaidi 2015, akifuatiwa na Jay Z na Drake


 

Nafasi ya pili ikiwa imeshikiliwa na mmiliki wa ‘Tidal’  Jay Z akiwa na kiasi cha dolla Million 56, pesa nyingi ameingiza kupitia label yake ya ‘Roc Nation’ na nafasi ya tatu imeshikwa na Drake akiwa na kiasi cha dolla Million 39.5

Hii ndio orodha kamili,

1. Diddy: $60 million
2. Jay Z: $56 million
3. Drake: $39.5 million
4. Dr. Dre: $33 million
5. Pharrell: $32 million
6. Eminem: $31 million
7. Kanye West: $22 million
8. Wiz Khalifa: $21.5 million
9. Nicki Minaj: $21 million
10. Birdman: $18 million
11. Pitbull: $17 million
12. Lil Wayne: $15 million
13. Kendrick Lamar: $12 million
13. J. Cole: $11 million
14. Snoop Dogg: $10 million
16. Rick Ross: $9 million
17. Tech N9ne: $8.5 million
18. Ludacris: $8 million
19. T.I.: $6 million
20. Macklemore & Ryan Lewis: $5.5 million

Jiunge Nasi na Huku Pia, Kwa Kubofya

No comments:

Post a Comment