Mimi na wewe hatujui wimbo huu utakuwa unazungumzia nini katika kipindi hiki tunachoelekea kwenye uchaguzi mkuu, kwahiyo tukae mkao wakusikiliza na kuiona video hii labda kuna kitu kipya tutakipata ndani ya masikio yetu na macho yetu.
“AMKA MTANZANIA” kutoka kwa Stereo, Nikki Mbishi, Wakazi, Songa, P The MC, One Incredible, Zaiid (Dir by Mecky Kaloka)
-Djchoka
Jiunge Nasi na Huku Pia, Kwa Kubofya








No comments:
Post a Comment