Tyga na Kylie Jenner mambo sio shwari kabisa kwenye mahusiano yao.
Couple maarufu ambayo inatrend kila sehemu, hatimaye imefikia
ukingoni na hiyo ni kutokana na ripoti ambayo imetolewa kutoka kwa
mashuhuda tofauti tofauti, wamefunguka kwamba Tyga na Kylie Jenner mahusiano yao kwa sasa ni kama switch ya taa, kwamba unawasha na kuzima.
Mahusiano ya wawili hao yalianza rasmi mwaka 2015 March, ambapo Tyga na Kylie walianza kuchukua vichwa vya habari kila leo kutokana n mahusiano yao kuwa na vitu vingi, kama utakumbuka siku chache nyuma Tyga aliandamwa na Blac Chyna kuhusu kutolipa pesa za matumizi kwa mtoto ambapo ilifika hatua ya wawili hao kuandikiana meseji za matusi.
No comments:
Post a Comment