Wednesday 27 April 2016

Video | Beat ya My Life ya Dogo Janja ilishatumiwa na msanii huyu wa Norway


Wimbo wa Dogo Janja ‘My Life’ ni miongoni mwa ngoma mpya zinazofanya vizuri kwa sasa. 

Beat ya wimbo huo ilitayarishwa na producer wa Norway, Carl Hovind. Hata hivyo awali beat hiyo ilitumika na msanii wa dancehall wa Norway, Admiral P kwenye wimbo wake Hatere.

itazame hapa 


Ni kawaida lakini kwenye ulimwengu wa dancehall/reggae beat moja kutumiwa na wasanii tofauti.

itazame hapa ya Dogo Janja


Jiunge Nasi na Huku Pia, Kwa Kubofya

No comments:

Post a Comment