Tuesday 26 April 2016

Kutana na kijana huyu kutoka Afrika,aliebuni michoro iliyoonekana kwenye mwili wa Beyonce


laoluuuuu 06
laoluuuuuuu 04


“Sorry”,moja ya track zinazopatikana kwenye album hii,video yake inamuonyesha  Beyonce na dancers wake wakiwa na nakshi za michoro mbalimbali  kwenye miili yao,michoro ambayo imechorwa na Laolu,ambae michoro yake ameipa jina”Sacred art of the Ori”,”In my language, Yoruba ‘Ori’ literally means your essence, your soul, your destiny”,anasema Laulu.

laoluuuuuuuu 01

laoluuuuuu 02
laoluuuuuu 05
laoluuuuuu 07
laoluuuuu 08

Laolu Senbanjo.
Inaonekana album hii ina mambo mengi zaidi nyuma ya pazia so as time goes on,pengine tutarajie kusikia makubwa zaidi kuhusu album hii ambayo now inapatikana Itune na Amazon na Tidal.

Jiunge Nasi na Huku Pia, Kwa Kubofya


No comments:

Post a Comment