Rapper huyo amekiambia kipindi cha XXL cha Clouds FM kuwa mixtape hiyo ameipa jina, Kama Ulaya.
“Idea ya kuita mixtape ‘Kama Ulaya’ imekuja baada ya kuona mimi ni
mtu ambaye nilikuwa nafanya mixtape za mbele yaani ngoma za wasanii wa
mbele na zime-hit,” alisema. “Mimi nina uwezo wa kubadilisha ngoma
yoyote na unaweza kuona kama mixtape ya Bobby Shmurda, Hot Nigga na
Kendrick Lamar ambayo nilifanya kwa style zao zile zile na watu
wakakubali uwezo wangu,” aliongeza.
“Sasa ndio umefika muda wa kuachia mixtape yangu ambayo nitakuwa na
uhuru nayo na haki nayo nikimaanisha kila kitu kiwe changu. Kwahiyo
nikaingia studio kwa Lufa na kuanza kurekodi ngoma 10 na bado
tunaendelea lakini itatoka mwaka huu.” - County Boy
Kupitia Instagram Country Boy aliandika :
My Mixtape
Iko Tayari
Na Ngoma 10
Tutaipata From Jumapili hii Usiku Tutaiuza pale Kibo complex Club71
Na tuna party kusherekea siku yangu ya kuzaliwa 15nov
Huku lineUp
Kubwa
Kutoka kwa;
@mabeste_tanzania
@kingzilla_tz
@pamdofficial
@mesenselektatz
@jordandaprincetz
@mirror26
@omgtanzania
@yungsizza_tz
@deddytz
@petitman_wakuache atahost show nzima
Co host @iamjimmyj
Na Wenginr Kibao
7000 kiingilio
Mixtape itakua inauzwa 5000
Yani bongo kama Ulaya tu mbona!
Save the Date! 15nov
#Amen @countryboytz
Jiunge Nasi na Huku Pia, Kwa Kubofya
No comments:
Post a Comment