Monday, 12 October 2015

Wiz khalifa awa msanii wa kwanza wa HipHop kufikisha watazamaji Billion 1 Youtube

Rapa Wiz Khalifa amekuwa msanii wa kwanza wa HipHop kuwa na video iliyotazamwa na watu bilioni moja kwenye mtandao wa Youtube kupitia Video ya “See You Again”  aliyomshirikisha  Charlie Puth

Miezi michache iliyopita wimbo huo ulivunja rekodi ya kushika namba moja kwa muda mrefu zaidi kwenye Chart za Billboard.

Mbali ya kutazamwa mara Billion 1, Pia imeingia kwenye orodha ya video kumi zilizowahi kutazamwa zaidi kwenye mtandao wa Youtube, Hii ndio orodha nzima

1. PSY – “Gangnam Style” – 2,426,500,822

2. Justin Bieber – “Baby” – 1,219,883,321

3. Taylor Swift – “Blank Space” – 1,188,147,147

4. Katy Perry – “Dark Horse” – 1,121,919,001

5. Katy Perry – “Roar” – 1,085,316,510

6. Taylor Swift – “Shake It Off” – 1,073,453,852

7. Enrique Iglesias – “Bailando” – 1,070,883,424

8. Meghan Trainor – “All About That Bass” – 1,046,823,436

9. Mark Ronson feat. Bruno Mars – “Uptown Funk” – 1,045,536,246

10. Wiz Khalifa – “See You Again” – 1,004,350,672.

Jiunge Nasi na Huku Pia, Kwa Kubofya

No comments:

Post a Comment