Vanessa alikiambia kipindi cha Friday Night Live (FNL) cha EATV hivi karibuni kuwa yeye na Jux wanashirikiana katika vitu vingi ingawa mpenzi wake huyo yupo nje kimasomo kwa sasa.
“Yupo China anasoma, lakini tupo poa kabisa,” alisema. Amenisupport kinoma yaani, kwa sababu bila Jux nisingeweza kufanya hiyo video, katika inspiration, motivation pamoja na kuwepo pale, alikuwepo kila siku wakati n-shoot, sitakaa nimwachie Jux,” alisisitiza Vanessa.
Jiunge Nasi na Huku Pia, Kwa Kubofya
No comments:
Post a Comment