Tuesday, 6 October 2015

Shilole amedai ataachia wimbo mpya baada ya uchaguzi atakao mshirikisha Yemi Alade


“Unajua Yemi ni msanii mkubwa na ana vitu vingi anafanya ila kila kitu kinaenda sawa,” amesema. “Watu wangu ambao wanazungumza na Yemi wanaendelea na kila kitu kinaenda sawa soon watu watasikia nini kinaendelea.” Shilole aliiambia Bongo 5

Jiunge Nasi na Huku Pia, Kwa Kubofya

No comments:

Post a Comment