Sunday, 25 October 2015

Roma ajisalimisha BASATA kuwasikilizisha wimbo mpya aliopanga kuachia leo siku ya uchaguzi Oct.25


Uamuzi huo umekuja kutokana na misukosuko aliyokutana nayo baada ya kutoa wimbo wake wa ‘Viva Roma Viva’ hivi karibuni, ambao BASATA waliufungia kutokana na madai kuwa hakuna ushahidi wa vitu vilivyoimbwa kwenye wimbo huo. .

Kupitia ukurasa wake wa Facebook Roma alipost ujumbe huu siku ya Jumamosi Oct.24;
“Kesho Ndiyo Ile Tarehe Niliyowaahidi
Kuwa Nitaachia ‪#‎KIBAO‬ Changu Kipya!!!!! /
Na Sasa Naelekea ‪#‎BASATA‬ Kuwasikilizisha Kabisa Kwanza!!! Wakitoa‪#‎GO_A_HEAD‬ Tu Basi Kesho Alfajiri ‪#‎KINANUKA‬ /
WAKIZINGUA NA MIMI NAWAZINGUA!!! /”

Jiunge Nasi na Huku Pia, Kwa Kubofya

No comments:

Post a Comment