Kwa mujibu wa TMZ, mjengo huo una thamani ya dolla Million 45, ambapo
watakua wanalipia dolla 150,000 kwa mwezi, imeripotiwa kuwa Bey and Hov
watalipia mjengo huo kodi ya mwaka mzima.
Wamepata mjengo huu baada ya jumba walilokua wakikaa mwanzo kuuzwa.
Jiunge Nasi na Huku Pia, Kwa Kubofya
No comments:
Post a Comment